Dr Louis JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 443 Reaction score 426 Dec 15, 2017 #1 Kila mwenye moyo wa kupenda wa dhati niko kwa basi naenda Arusha maombi yako tafadhali,pamoja na maombi kampani ni muhimu. Halafu wale wenyeji humu ndani mlioko Arusha ruksa kunipokea ila tu sehemu za starehe sipendelei kwa sababu maalumu.
Kila mwenye moyo wa kupenda wa dhati niko kwa basi naenda Arusha maombi yako tafadhali,pamoja na maombi kampani ni muhimu. Halafu wale wenyeji humu ndani mlioko Arusha ruksa kunipokea ila tu sehemu za starehe sipendelei kwa sababu maalumu.
Singidan JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 878 Reaction score 945 Dec 15, 2017 #2 Wewe kama nani?
Dr Louis JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 443 Reaction score 426 Dec 15, 2017 Thread starter #3 ABDUL sungita said: Wewe kama nani? Click to expand... Mkuu habari za asubuhi.
dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,086 Dec 15, 2017 #4 Jaribu Mianzini.