Mkumbuke kujipanga na matawi ya miti na maua barabarani sasa sijui ataingilia na flight ili wananchi wa Airport, Ilemela, Pasiansi, Nyamanoro kuelekea mjini wajipange barabarani na matawi ya miti na mau kusubiri mgeni huku vikundi vya ngoma vikuburudisha