Kampala international university

Kampala international university

Porocious

Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
20
Reaction score
7
Naomba mwenye ufahamu na hiki chuo, mazingira, gharama za maisha,hostel na hadhi ya elimu inayotolewa kwa sasa anijuze...pia kama ukiwa na picha ya mazingira yake mnaweza kuweka...
 
Past always configures the future!! Nadhani you have to think twice!
 
Naomba mwenye ufahamu na hiki chuo, mazingira, gharama za maisha,hostel na hadhi ya elimu inayotolewa kwa sasa anijuze...pia kama ukiwa na picha ya mazingira yake mnaweza kuweka...

Ninachojua hadi sasa ni kuwa hicho Chuo kimeingia katika Kitabu cha Guinness kwa kuwa bora zaidi katika Mizozo, Mitafaruku, Utapeli na Ugomaji duniani. Hata hivyo nakutakia kila la kheri na nia yako thabiti ya kwenda kusoma hapo.
 
Mi ni mkazi wa Gongo la mboto, Chuo kipo Gongo la Mboto mwisho ukishuka hapo ni mwendo wa dkk 5 hadi 7 kutembea kwa mguu sijawahi ingia ndani ya chuo ila kwa kuchungulia mazingira sio mabaya ni mazuri, kuhusu ada nasikia zipo juu kwa sayansi ila sina uhakika km chuo chenyewe kina hostel maana naona wanafunzi wanapanga mitaani.
 
Chuo ni kizuri migogoro kila chuo haikosi kapate elimu wako vizuri
1474687670203.jpg
 
Kwanini walikifungia UDOM kwa kozi ya Doctor of Medicine wakakiachahki chuo cha Kampala kwa Kozi za Afya.
Ninani Mmiliki wa hiki chuo.?
Daaah kweli Tanzagiza ni nchi ambayo kamwe rushwa haitaisha.
 
nilikutana na wahitimu wa chuo kicho ktk level za juu mahala flani wanakuwa kama wakavu sana sijui wanakula nini hapo kiu. much know sana

lkn kila la kheri.
 
Bachelor of pharmacy

Kama Unataka Kujua Kwanini Van Dame Alisema "No Retreat No Surrender"! Basi Sikiliza Maneno Ya Wapayukaji na Usiende Hapo Chuoni Usubiri Uombe Mwakani Uone!!!

KIU ni Chuo Kizuri Chege Full Registration tofauti Na Wajinga Wanavyokitangaza Vibaya. Mimi Ninachokijua Hapo KIU ila Yake ni Kuhusu Ada tu Kwani Ada Zake Zipo Juu Sana!!

Kwa Bachelor Of Pharmacy itakubidi Uongezee Na 2.2M kila Mwaka!

Kwasababu Ada ni 3.8M, na Mkopo Serikali inakupa 1.6M, Zilizobakia Unaongezea Mwenyewe.
 
Nakumbuka walisimamishwa kutoa masomo ya fani ya udaktari na uuguzi.

Anyway kila la kheri mkuu
Sio kweli KIU haijafungiwa , na pia haijawahi kutoa kozi ya uuguzi .. Hivyo kama hujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kuandika usichokijua
 
Kwanini walikifungia UDOM kwa kozi ya Doctor of Medicine wakakiachahki chuo cha Kampala kwa Kozi za Afya.
Ninani Mmiliki wa hiki chuo.?
Daaah kweli Tanzagiza ni nchi ambayo kamwe rushwa haitaisha.
Unajua kwanini udom imefungiwa ?? Kama ulikua hujui ni bodi ya ukaguzi Africa mashariki ndio walipita wakakagua vyuo vyote vya afya ,na kutoa mapendekeze vyuo vilivyokuwa na mapungufu makubwa vifungwe , TCU hawakukurupuka tu kijana
 
Kama Unataka Kujua Kwanini Van Dame Alisema "No Retreat No Surrender"! Basi Sikiliza Maneno Ya Wapayukaji na Usiende Hapo Chuoni Usubiri Uombe Mwakani Uone!!!

KIU ni Chuo Kizuri Chege Full Registration tofauti Na Wajinga Wanavyokitangaza Vibaya. Mimi Ninachokijua Hapo KIU ila Yake ni Kuhusu Ada tu Kwani Ada Zake Zipo Juu Sana!!

Kwa Bachelor Of Pharmacy itakubidi Uongezee Na 2.2M kila Mwaka!

Kwasababu Ada ni 3.8M, na Mkopo Serikali inakupa 1.6M, Zilizobakia Unaongezea Mwenyewe.
Umeangea vizuri sana mkuu ,ila kwa KIU ada ya pharmacy ni Tsh 3,800,000 na bodi ya mikopo wanatoa 3,100,000 hivyo pharmacy wanaongezea 700,000 mwaka mzima .. Sawa sawa na medical laboratory ,....kozi yenye ada kubwa Kampala ni medicine ambayo ni 6,700,000 na bodi inatoa 3,100,000 peke hivyo inabidi kuongeza 3,600,000 kwa mwaka...
 
Back
Top Bottom