wadau nipo jiji la kampala ni siku ya tatu sasa nipo hapa,si utani hawa kina sebho na nyabho wanajua kula maisha,kwa nilichoshuhidia kwa muda huu bongo tunasubiri
Nimewahi kuwa hapo kwa miaka 2 nakubaliana na wewe waganda wanapenda sana starehe
afu ni cheap sana ukilinganisha na bongo wanauzi maake zimewafanya hadi kuwa wavivu
kimtindo. Kampala si ajabu kukuta bar inapiga mziki na wateja kibao jumatatu Asubuhi
siku ambayo ni muda wa kazi. na ngono huko ni sawa na maji ya kunywa hata ukimuomba
jirani anakusaidia tu. watoto wakibongo wanahariibikiwa sana wakifika huko wachahce sana
hujitambua kilichowapeleka huko
wadau nipo jiji la kampala ni siku ya tatu sasa nipo hapa,si utani hawa kina sebho na nyabho wanajua kula maisha,kwa nilichoshuhidia kwa muda huu bongo tunasubiri
Aisee ni kweli sema waganda hawana maadili vidada vyao sura mbaya vinapenda sana kuvaa nusu uchi ili at least vivutie wanaume. Wote wanapenda kujitamba eti ni wanyarwanda kumbe hawana lolote!