Taarifa kutoka Ikulu ni Kuwa Engineer Paul Masanja ameteuliwa kuwa Kamishna mpya wa Madini. Kabla ya hapo alikuwa CEO wa TMAA. Enye CV yake tupeni. Nasikia jamaa ni jembe la uhakika.
CEO anateuliwa na Waziri wakati Kamishna wa Madini ni mteule wa Rais. Hivyo jamaa amepaa. Ni kweli jamaa yuko vizuri sana, nimeona hata CV yake iko poa. Namtakia heri aokoa madini yetu