Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,604
Huoni kuwa ccm itaunganisha viti vyake na vile vya maswahiba wake uliowataja hivyo watapata wingi wa viti bungeni na kuiangusha serikali ya cdm?Kama tutafanikiwa kuwa na uchaguzi huru na wahaki mwaka 2015, basi kambi ya upinzani bungeni itaongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na vyama vingine kama
NCCR
CUF
TLP
n.k
Mawaziri wa serikali ya Chadema watatakiwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa maana upinzani utakuwa mkali sana. Pia sidhani kama kutakuwa na wasaliti wengi maana hapatakuwa na sababu ya mtu kusaliti.
hyo mbatia ana kazi maalum pale bungeni,alishanunuliwa zamani saaaanaKama tutafanikiwa kuwa na uchaguzi huru na wahaki mwaka 2015, basi kambi ya upinzani bungeni itaongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na vyama vingine kama
NCCR
CUF
TLP
n.k
Mawaziri wa serikali ya Chadema watatakiwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa maana upinzani utakuwa mkali sana. Pia sidhani kama kutakuwa na wasaliti wengi maana hapatakuwa na sababu ya mtu kusaliti.
Ila kambi ya upinzani ya ccm itakuwa haina nguvu maana wengi wa mawaziri wata kimbilia wanako ficha hela sasa.Kama tutafanikiwa kuwa na uchaguzi huru na wahaki mwaka 2015, basi kambi ya upinzani bungeni itaongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na vyama vingine kama NCCR CUF TLP n.k Mawaziri wa serikali ya Chadema watatakiwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa maana upinzani utakuwa mkali sana. Pia sidhani kama kutakuwa na wasaliti wengi maana hapatakuwa na sababu ya mtu kusaliti.
Kama tutafanikiwa kuwa na uchaguzi huru na wahaki mwaka 2015, basi kambi ya upinzani bungeni itaongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kushirikiana na vyama vingine kama
NCCR
CUF
TLP
n.k
Mawaziri wa serikali ya Chadema watatakiwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa maana upinzani utakuwa mkali sana. Pia sidhani kama kutakuwa na wasaliti wengi maana hapatakuwa na sababu ya mtu kusaliti.
Kumbuka itakuwa serikali tatu hivyo hao CUF hawatakuwa na kitu huku Tanganyika na NCCR viti vyao kamaMwenendo wao utakuwa huhuu wa kushuka vitin vyao vitapungua hata kwenye vilivyopo.Kwa hiyo serikali ya cdm ita kuwa namajority katika bunge na hivyo kupitisha mambo yake kirahisiHuoni kuwa ccm itaunganisha viti vyake na vile vya maswahiba wake uliowataja hivyo watapata wingi wa viti bungeni na kuiangusha serikali ya cdm?
Hivyo viwanda vita jengwa kwenye maeneo iliyo na watumiaji mhimu.Mwigulu Nchemba atajengewa karibu na nyumba yake Huko Iramba ilil asipate taabu katika mapumziko yake atumie hiyo kitu ya kutoshaNa wazırı wa Vıwanda atatokea Sıngıda na jukumu la kwanza nı kuanzısha kıwanda cha Gongo Karatu Mjını na Depo lıtakuwa Arusha na Irınga na Haımaye Mbeya mjını kutakuwa na Tawı. Astaghafılulah waallah Wanasıasa wa Tanzanıa wananıchosha kwelı. Wenzao wakatı wakıfıkırıa kuboresha uchumı nchı zao wao wanafıkırıa kuongeza wagongwa wa wanaougua magongwa ya INI na UKIMWI
Kiukweli umetoa pendekezo mhimu sana kipindi hicho kuzalisha gongo kwawingi,kwasababu wengi wa wanaccm wa sasa watakuwa majumbani tu wakiwa choka mbaya,na burudani pekee kwa watukama hao ni hiyo kituNa wazırı wa Vıwanda atatokea Sıngıda na jukumu la kwanza nı kuanzısha kıwanda cha Gongo Karatu Mjını na Depo lıtakuwa Arusha na Irınga na Haımaye Mbeya mjını kutakuwa na Tawı. Astaghafılulah waallah Wanasıasa wa Tanzanıa wananıchosha kwelı. Wenzao wakatı wakıfıkırıa kuboresha uchumı nchı zao wao wanafıkırıa kuongeza wagongwa wa wanaougua magongwa ya INI na UKIMWI
Tunachangia hali itakavyo kuwa ccm watakavyo kumbwa na Anguko na kuwa chama kikuu cha upinzani.Maada iko wazi mkuu,niwewe umeshindwa kuelewa.Hilo huwa lina wapata waliosoma shule za kataKweli nimeanza kuamini Gongo sio maji, sasa hapa tunachangia nini?
tupanue magereza tu!
Tunachangia hali itakavyo kuwa ccm watakavyo kumbwa na Anguko na kuwa chama kikuu cha upinzani.Maada iko wazi mkuu,niwewe umeshindwa kuelewa.Hilo huwa lina wapata waliosoma shule za kata