Video inafunguka ikiwa speed ya internet yako iko vizuri - especially 3G,huwezi kuiangalia ikiwa unatumia EDGE/GPRS.Ni kweli video inatisha kwa kweli,ila tu tatizo ni kwamba mtu yeyote mwenye malengo yake anaweza kuitengeneza..sasa sina hakika ni ukweli kiasi gani umebebwa ktk video hii,hilo linabaki kwa producer wa video hii.
Anyway,haya mambo ya siasa nayo wakati mwingine ukiamua kuyafuatilia sana kichwa kinauma.Ni vigumu kwa kweli kusema ikiwa hii video ina ukweli wowote ama la,so kwa akili za kawaida kabisa,ni vigumu kucomment kitu chochote.