Wakuu hii imekaaje !
Leo asubuhi kipindi cha jambo leo walimwonyesha spika wa bunge akitanagaza kamati ya ufundi ya timu ya wabunge.
[1] Steven Ngonyani aka Professor Maji marefu Mbunge wa Korogwe.
[2] Dr Shukuru Kawambwa Mbunge wa Bagamoyo
[3] Hawa Ghasia Mbunge wa Mtwara
[4] Khalifa Hilal Aeshi Mbunge Sumbawanga Mjini
[5] Khalifa Khalifa Mbunge wa Wete Pemba
[6] Maria Hewa Viti Maalum Mwanza
[7] Mizengo Pinda Mlezi wa Kamati ya ufundi Mbunge wa Sumbawanga.
Wajumbe wote wa kamati ya ufundi wanatoka maeneo yanayosifika kwa uchawi/ushirikina.Hivi hii timu ikishiriki ligi kuu Tanzania kuna timu ya kuifunga hata Yanga iliyochukua ubingwa kwa tofauti ya goli moja hakika ikikumbana na timu ya wabunge wangefungwa goli nyingi.