Kamati ya Bunge Yaingilia kati Madaktari kutumbuliwa Majipu

Kwa hiyo
 

Attachments

  • IMG-20160401-WA0013.jpg
    IMG-20160401-WA0013.jpg
    22.9 KB · Views: 36
Kama ulishawahi kukumbana na kashifa za hawa wanaojiita madaktari unaweza ukawaonea huruma...lakini hawa wakiwa wanakudai rushwa huwa hata hawaoni thamani ya uhai wa mtu....wao cha muhimu ni hela tu...
 
Sasa km amekosea asiadhibiwe? Labda waseme wafanyakazi wasiadhibiwe kwa kukurupuka otherwise hakuna aliye juu ya sheria..
 
Sasa km amekosea asiadhibiwe? Labda waseme wafanyakazi wasiadhibiwe kwa kukurupuka otherwise hakuna aliye juu ya sheria..
Tatizo ni kuingiza siasa hata kwenye yanayohitaji bongo... Yaani naweza kusema kuwa wanasiasa wanaiharibu nchi hii.....
Moja kati ya taaluma nyeti zisizohitaji siasa ni hii ya tiba kwani inagusa uhai wa mtu.....
 
Back
Top Bottom