mfereji maringo JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 1,043 Reaction score 263 Aug 21, 2011 #121 mbayuwayu yupo ukweni lindi, huku mgao wa umeme ukiwa umeisha, na sasa ni ukosefu wa umeme kabisa.
Mwana Kwetu JF-Expert Member Joined Jul 12, 2011 Posts 652 Reaction score 607 Aug 21, 2011 #122 Viva CDM nawatakieni mafanikio mema na msidharau mkaacha kumtanguliza Mungu kwani ana nguvu kuliko majini ya mlingotini Bagamoyo na ufundi wa Prof Feki Maji Marefu
Viva CDM nawatakieni mafanikio mema na msidharau mkaacha kumtanguliza Mungu kwani ana nguvu kuliko majini ya mlingotini Bagamoyo na ufundi wa Prof Feki Maji Marefu