Kamati Kuu ya CHADEMA imezogezwa mbele

ukawa2020

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
339
Reaction score
1,315
Kufuatia kifo cha Mama Mzazi wa wakili msomi Kibatala, Kifo hicho kimesababisha kusogezwa mbele kikao cha kamati kuu ya chama hicho. Sasa kikao hicho kitafanyika kesho jumapili tarehe 14.1.2018, ntawaletea update kadili zitakavyojitokeza. KIKUBWA KINASOSUBILIWA NI RIPOTI YA INTEREJENSIA YA CHADEMA, ITAKAPO TOA RIPOTI YAKE
 
Intelejensia ya Chadema imezidiwa kwa mbali sana na ile ya Lowassa!
 
Oooh imezogezwaaaa basi saaawa!!!!
 
Mama yake Kibatala ni mjumbe wa kamati kuu?
Na kwani Kibatala asipokuwepo kikao hakifanyiki?
Baada ya Mbowe kukutana na Lowassa kisha akamung'unya maneno nilijua tu hata kile kikao walichoitisha kwa hasira nacho kinayeyukia mbali.
 
Tulia uandike kwa ufasaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…