Kamata mpunga ni utapeli au mchezo

Kamata mpunga ni utapeli au mchezo

Eruukada

Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
9
Reaction score
13
apo nyuma niliandika kuhusu michezo ya fedha ya makampuni ya simu , nikasema nitaendelea kutafuta ukweli kama wanaanchi wanaibwa ama serikali inaibiwa ama vyote viwili

maswali ya kujiuliza:-

1. Unaulizwa swali ; timu ya taifa ya wanaume ya tanzania inaitwaje 1)twiga stars, 2)Taifa stars . unajibu 2 , wanakutumia meseji wanasema umekosea,
unajiuliza kweli huu ni mchezo halali au la????
2. Unatumiwa meseji ya swali unaamuwa kutokujibu, voda wanakutumia meseji wanasema umepatia ,we ni mkali kweli
unajiuliza nimepatia nini wakati sijajibu , ?????

3. Ukijiunga na bando alafu ukawa huna hela kwenye simu maswali yanakuja kidogo kidogo
ukiweka hela maswali yanakuja mara nyingi,
unajiuliza huu ni mchezo halali au la???????

4. maswali yanajirudia mara kwa mara , unajiuliza huu ni mchezo halali au la???????

Je Gaming board of Tanzania wanafuatilia michezo hii ama hawajali wananchi wanavyoumizwa
au ni kazi ya TCRA,??

Je hela inayopatikanika inajulikana ni shilingi ngapi na ni kweli wananchi wanashinda na wanapewa hela kulinganisha na mapato wanayopata au ni siri ya voda wenyewe ???

Je serikali wanapata kodi kutokana na makusanyo haya au wanatiwa upofu na kodi ya matumizi ya simu ya kawaida wanayopewa,????? kwasababu aviusiani kabisa

huu ni muendelezo ....

Voda wana wateja million 6 nchi nzima, tuchukuwe namba ndogo kabisa ya watu 100,000 kwa siku ndio wanacheza hii ni 1.6% ya wateja wa voda

Piga Hesabu: 100,000 x 200/TSh = 20,000,000/TSh kwa siku
20,000,000/TSh x 30 siku = 600,000,000/TSh kwa mwezi

This is a serious amount of money one can make out of poor Tanzanian citizens, and guess what! The game is on for three to four months or so.

The funny thing is that this Mega companies are already making a lot of profit from extremely high rate sms, data and voice tariffs but they don’t have any sympathy on continue milking cash out of poor me and you by deceiving us wit these kind of tricks and unsurprising the government is quiet. Until we have regulators who are committed to working for the public we will always going to be on the losing side

Remember: “HEADS THEY WIN, TAILS WE LOSE”
 
Wajipange sana wanapoamua kutaka kutuibia wa Tz skuiz wengi wamepita shule sio kama zamani

Mitandao ya cm angalieni hili jipu kabla halijaiva
 
Aisee afadhali ihata umelete hii mada,hawa jamaa wanakera sana na mijiswali yao ya kipumbavu,mi nilicheza mara moja tuu,huwezi amini huu ni mwezi wa pili natumiwa mi sms minne minne kila siku.WANAKERA,niliwapagia kuwaambia waniondoe aisee,wanasema haiwezekani kutolewa hadi hilo li game lao la kishenzi lifike mwisho.NATAKA KUWASHTAKI KWA KUNIKERA.
 
Wezi tu hao watu wana point laki mbili na upumbavu lakini hajashinda hata kaelfu 10
 
Matapeli na wacheza kamali si kingine, naona mamlaka ziko kimya kuhusu wizi huu.
 
Kama kweli wanashindanisha kwa maswali ya uelewa wa jumla wangekubali kujibu kwa sms za kifurushi.

Halafu maswali mepesi ili ushawishike kujibu.eti magu ni raisi wa uganda au tz???f*ck.
 
Mimi huwa wananikera ni hizi sms za

"Kwa leo tu gundua maswali ya ajabu yanaweza kukupa pointi elfu zaidi ya droo"
 
Waziri husika yupo busy kufungia vyombo vya habari..nchi hii siasa tu hadi jeshini
 
Matapeli tu hata wale wa kamata mkoko walioshinda sikiwahi kushuhudia hilo gari mpka leo, sijui wanayapelekaga wapi
 
Me nikiona vimeseji vyao tu huwa nadelete au wakinipigia sijui boresha mahusiano yako nakatilia mbali nikisikia anaanza kuongea upuuzi wao.
 
Back
Top Bottom