Kamari inazidi kufilisi vijana

Ukitoka kwa Mhindi, njoo kwa Mchina ana vimashine vyake vile vya kuweka 200. Anawagonga sana vijana hizo sarafu sio poa. 😁
Mchina hataki hela nyingi, mia mbili tuu.
Mkuu please πŸ™πŸΏ mkuu rudisha avatar picha tuliyozoea umevaa suit nyeusi na tai.
 
Maumivu yake sio ya kitoto.

Na mbaya zaidi hapo alikosa namna ya kuzirudisha hizo pesa.

Ila yote kwa yote umaskini unachangia pakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…