Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,329
- 23,259
Ritz hii hali mbona sielewi?Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.
Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22 ni raia au wapiganaji wa Hezbollah.
Kuuawa kwa kamanda wa Hezbollah kunafuatia shambulio la drone la Hezbollah kwa Israel ambalo liliua askari wanne, kujeruhi vibaya 7 na kuwapa majeraha madogo askari wengine 61 wa Israel.
Red Cross nchini Lebanon, wamesema kuwa kwa sasa nchini Lebanon hakuna eneo lililo salama.
=======================
Israel kills commander of elite anti-tank missile unit
Israel has killed the commander of the anti-tank missile unit of Hezbollah's elite Radwan Force, its military has said.
Muhammad Kamel Naim was killed in a strike in the Nabatieh area of south Lebanon, it added.
1h ago18:57
Number killed rises to 21 in Israel's first strike on northern Lebanon
The number of people killed in an Israeli airstrike on an apartment building in northern Lebanon has risen to 21, according to the Lebanese Red Cross.
There was no immediate comment from the Israeli military and it was not clear what the target was.
Tuombe hekima ya Mungu iwaguse watu wote ili ugaidi ukome, vita vikome, umoja na upendo vitawale, ili watu waishi kwa amani, kama Kristo alivyosema, "Amani Iwe Kwenu"
Kule Pakistan magaidi yanakojilipua kuna Wazayuni?Wazayuni wakifutwa hutasikia ugaidi tena duniani
hata shetani ni zao la Mungu piaNi zao la Mungu mwenyewe wayahudi walitumika tu
Kama walimfanyia Yesu unyama ule hawa wakina Ashabab na boko haram ni madogoApewe maua yake,,,,,anasaidia kupunguza vikosi vya alshabab na boko haram
Kabisaa.....sema hawa wa alshabab hakuna hata nabii aliewaongelea zaidi ya mizimu ya wakina habibi kufosi kingiKama walimfanyia Yesu unyama ule hawa wakina Ashabab na boko haram ni madogo
Kabisaa basi acha Mungu afanye yake,,,,Mungu hapiganiwi ila anapigana yeye mwenyewe kama tunayojionea sasa.....maana watu wanaleta udini wanasahau huyo mrusi wanaetaka awakumbatie nae ni mla kitimoto ,,,,ukija kwa mchina ndo kwanza hataki kusikia habari za kobazi nchini kwake wale Uighurs anawanyoosha..........hii kweli ukikaa nchale ukisimama nchalehata shetani ni zao la Mungu pia
sasa Yesu kaongea wamemtundika , sasa kuna haja gani ya kuongelewa ?Kabisaa.....sema hawa wa alshabab hakuna hata nabii aliewaongelea zaidi ya mizimu ya wakina habibi kufosi kingi
Angekua anaogopa hilo angesepa fasta kwa wayahudi mbona alilijua hilo tokea anazaliwa,,tofauti na wale ambao wameahidiwa mito ya pombe na mabikira 72 ila wakitaka wapelekwe huko wanaanza kutoka nduki hadi kuanza kuvaa nguo za wanawakesasa Yesu kaongea wamemtundika , sasa kuna haja gani ya kuongelewa ?
Mungu anapiganiwa na kupigana, vyote vinafanyika ndio maana aliwatuma watu kuua watu wengine, MCHINA ndivyo alivyo ndio maana hapa Duniani ni miongoni mwa nchi ambazo kiongozi wa katoliki wanachagua serikali sio PAPA, mchina serikali kwanza pale mpaka yule PAPA katulia anatii serikaliKabisaa basi acha Mungu afanye yake,,,,Mungu hapiganiwi ila anapigana yeye mwenyewe kama tunayojionea sasa.....maana watu wanaleta udini wanasahau huyo mrusi wanaetaka awakumbatie nae ni mla kitimoto ,,,,ukija kwa mchina ndo kwanza hataki kusikia habari za kobazi nchini kwake wale Uighurs anawanyoosha..........hii kweli ukikaa nchale ukisimama nchale
Sasa anasepa vip wakati katumwa kazi??lazima afanye kazi hata kama wayahudi watamuua, na wote wakamtundika kweli mchana kweupeee, Mwanaume mabikira 72 wachache wewe hujaona Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700Angekua anaogopa hilo angesepa fasta kwa wayahudi mbona alilijua hilo tokea anazaliwa,,tofauti na wale ambao wameahidiwa mito ya pombe na mabikira 72 ila wakitaka wapelekwe huko wanaanza kutoka nduki hadi kuanza kuvaa nguo za wanawake
Sasa mbona huyo wa hamas alikua anaogopa kukutanishwa na hao mabikra 72 hadi akaanza kuvaa mavazi ya mama zake?? Alikua anaogopa kwenda kuchil na allah au??Sasa anasepa vip wakati katumwa kazi??lazima afanye kazi hata kama wayahudi watamuua, na wote wakamtundika kweli mchana kweupeee, Mwanaume mabikira 72 wachache wewe hujaona Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700
Mbinu za kijeshi hata Nyerere alivaa alipokuwa anapigania uhuru, unavaa lolote ndio ukomandooSasa mbona huyo wa hamas alikua anaogopa kukutanishwa na hao mabikra 72 hadi akaanza kuvaa mavazi ya mama zake?? Alikua anaogopa kwenda kuchil na allah au??
Kijeshi unaogopa.kwenda kupewa mabikira?Mbinu za kijeshi hata Nyerere alivaa alipokuwa anapigania uhuru, unavaa lolote ndio ukomandoo
Mabikira wapo ila ni lazima uwamalize maadui wengi zaidi , ndio maana watu wanatumia mbinu kuwa hai ili kuuwa maadui wengi zaidiKijeshi unaogopa.kwenda kupewa mabikira?
Kabisaa kawaida hio alama ya upendo wa hali ya juu toka kwa Mungu kumtoa mwanae wa pekee auliwe kwa ajili ya ukombozi wa wengine,,,,sio mungu wa wale anaetoa kafara watoto wa wengine huku wakwake wakijifunika na nguo za kike kuogopa kutolewa kafara na allahWayahudi walishaua mtoto wa Mungu kama Paka hawa sio powah aiseee, ukiwataja ukumbuke hilo, ndio mbona hata wasabato hawali kitimoto lakini ni wakristo tu saaafi
Kwahio usipokua hai na mungu wako atakosa nguvu??? Hapo anaabudiwa mungu au binadamuMabikira wapo ila ni lazima uwamalize maadui wengi zaidi , ndio maana watu wanatumia mbinu kuwa hai ili kuuwa maadui wengi zaidi
Mungu hampendi mwanae ndio maana akaachwa atundikwe, yaani mwanao unampenda kweli atundikwe kama ndafu? Mungu wetu ni muumbaji hakuna cha kukomboa wote ni viumbe wake ni amesha weka utaratibu ukifanya mema peponi ila ukifanya mabaya motoni, nimeshakwambia anatakiwa kuuwa maadui wengi hawezi kufa kiboyaKabisaa kawaida hio alama ya upendo wa hali ya juu toka kwa Mungu kumtoa mwanae wa pekee auliwe kwa ajili ya ukombozi wa wengine,,,,sio mungu wa wale anaetoa kafara watoto wa wengine huku wakwake wakijifunika na nguo za kike kuogopa kutolewa kafara na allah
Nguvu zipi? unapambana na adui binadamu mwenzako sio MunguKwahio usipokua hai na mungu wako atakosa nguvu??? Hapo anaabudiwa mungu au binadamu
Amekaa na mateka wakutosha rusha bomu sasaHaya komandooView attachment 3125532
Hakuna haja,,,tunawashukuru tu kwa kuwatuliza al shabab na boko haram huku magetoniAmekaa na mateka wakutosha rusha bomu sasa