Mimi ni team humanity mkuu sinaga upande wakat wa vita labda kama jwtz wanahusika ndio nakuaga upande wao.
Maana hakuna faida ya kushikilia watu 150 wakat watu mlio apa kuwalinda wanaangamia ni ego za kipimbi, waachie mateka watu wapumue na wao wajipange for next ambush huenda kuna siku wakatoboa