Kumbe tatizo lako ni majina?!. tena nakuongezea rais ni Mrisho, na Makamo wa rais ni Mohamed!.
Wakati ule rais akiwa Benja, Waziri Mkuu Fredi, Spika Pius, Jaji Mkuu Banaba, CDF akiwa Robati, Mkuu wa Tiss akiwa Coloneli, IGP Solomoni, Mkuu wa Takukuru Edward, Waziri wa Ulinzi Philemoni, Mambo ya Ndani Agustino etc etc, mbona hamkusema?!, au hamuoni!. ila tuu inapokuwa ni Mrisho, Mohamed, Saidi, Othmam, au Suleiman ndio mnaona!, mnasema!.
Mtatakuja kujifia na vijeba vya roho ya chuki za udini!.
Pasco.

mkuu acha udini bana hata kwenye mambo serious. mbona hata huyo koplo ambaye ndo mtuhumiwa no1 wa askari anaitwa Azizi? haya ndo madhara ya taahira kuwa karibu na keyboard.Bila kuondoa hawa CCM tabu tupu kamanda kanda maalumu anaitwa Selemani IGP anaitwa Saidi,Mkuu wa TISS anaitwa othman kwa hiyo hata kama ni kweli aliwasweka ndani askari na aliruhusu gari kupita na kuwadharilisha polisi kuongea kupitia simu ya raia hao viongozi wake kama hawatamchunguza kwa lolote
acha udini sungura weweBila kuondoa hawa CCM tabu tupu kamanda kanda maalumu anaitwa Selemani IGP anaitwa Saidi,Mkuu wa TISS anaitwa othman kwa hiyo hata kama ni kweli aliwasweka ndani askari na aliruhusu gari kupita na kuwadharilisha polisi kuongea kupitia simu ya raia hao viongozi wake kama hawatamchunguza kwa lolote
kumbe wakati mwengine unaandikaga point. nilikuwa sijawahi stukia kilo.Kumbe tatizo lako ni majina?!. tena nakuongezea rais ni Mrisho, na Makamo wa rais ni Mohamed!.
Wakati ule rais akiwa Benja, Waziri Mkuu Fredi, Spika Pius, Jaji Mkuu Banaba, CDF akiwa Robati, Mkuu wa Tiss akiwa Coloneli, IGP Solomoni, Mkuu wa Takukuru Edward, Waziri wa Ulinzi Philemoni, Mambo ya Ndani Agustino etc etc, mbona hamkusema?!, au hamuoni!. ila tuu inapokuwa ni Mrisho, Mohamed, Saidi, Othmam, au Suleiman ndio mnaona!, mnasema!.
Mtatakuja kujifia na vijeba vya roho ya chuki za udini!.
Pasco.
tunajua pale hata aje nani kama ni muislam lazima matusi yatatoka kwa watu wa makanisa tu. ungekuwa na umri mkubwa kidogo ningekukumbusha kipindi mwinyi akiwa rais jinsi wakristo walivyokuwa wakumtukana na kuchora picha mbaya zake pale mlimani-udsmEndelea kupiga domo kwa kutetea ujinga lakn hautoambulia hata cheo chochote Magambani,je utendaji wa watu ulowataja wewe ulitiliwa shaka ilivyo sasa? au ulevi unakusumbua wewe?
thubutu. niambie kama waandishi walikuwa wanaandika kama wanavyoandika siku hizi. wote kimya na habari sahihi na muhimu tulikuwa hatupati, huon walishindwa hata kuandika juu ya meremeta, mwanchi gold, kiwira, NBC, migodi, Epa, alex and stewart-mramba boy, BOT-liyumba, rada ma mengineyo mengi. lakini kipindi hiki, richmond/dowans ndani ya mwaka mmoja kimelia. kwa taarifa yako, hata huu uandishi wa kubenea utaishia kwa kikwete, hakuna rais mwengine anayeweza kumvumilia kiasi hiki. subiri.Umesahau point moja.................. Na wakati huo mambo yalikuwa shwari. Maamuzi magumu yalikuwa yakichukuliwa kwa maslahi ya taifa. Si zama hizi, kila siku ngonjera.
Usiwe mjinga wewe na kupenda sifa za kipumbavu Jakaya mwenyewe leo anakiri kuna udini wewe unasema mimi mdini unataka kukataa nini wakati kipo hewani, niwe na chuki na nani Jaji othman au kaka yake Othman wa TISS au shemeji wa KIkwete Saidi hao wamejichukia wenyewe kwa ujinga wao wameachia udini umetamalaki ,hata usipojikomba jamvini bado utapata matangazo tuu weweKumbe tatizo lako ni majina?!. tena nakuongezea rais ni Mrisho, na Makamo wa rais ni Mohamed!.
Wakati ule rais akiwa Benja, Waziri Mkuu Fredi, Spika Pius, Jaji Mkuu Banaba, CDF akiwa Robati, Mkuu wa Tiss akiwa Coloneli, IGP Solomoni, Mkuu wa Takukuru Edward, Waziri wa Ulinzi Philemoni, Mambo ya Ndani Agustino etc etc, mbona hamkusema?!, au hamuoni!. ila tuu inapokuwa ni Mrisho, Mohamed, Saidi, Othmam, au Suleiman ndio mnaona!, mnasema!.
Mtatakuja kujifia na vijeba vya roho ya chuki za udini!.
Pasco.
acha udini sungura wewe
Taahira ni wewe ungesikiliza leo hotuba ya mdini namba moja hapa nchini Raisi KIkwete ungejua leo amepigilia msumari kila mtu atachinja nyama sasa ndio alipotufikisha anasema maswala ya nyama ya Buseresere ya huko huko yeye na sisi wote hatumomkuu acha udini bana hata kwenye mambo serious. mbona hata huyo koplo ambaye ndo mtuhumiwa no1 wa askari anaitwa Azizi? haya ndo madhara ya taahira kuwa karibu na keyboard.
haya kaweke basi wakristo wenzako kama kanisani. bwe.ge we.
Kaka pasco mwambie huyo mdini ajitambue na walivopangana wakapiga epa rada wakabinafsisha kila kitu wakauza dhahab zetu almasi yetu kwa kitu cha ten per
Nachukizwa sana na hizi itikadi. Broaden your mind.
Kinacho kusumbua wewe ni UTAKU na UDINI!