Jamani msiingize kufutiwa misaada na wafadhili mkaingiza hata watu wasio husika, it's good if people shall deal with subject matter,hii misaada mingi raisi wa awamu ya 4 aliipandia ndege sana kwenda kuomba mwenyewe alikuwa anaita kuhemea lakini iwe mikopo,misaada etc huwa na masharti,hata wewe binafsi ukitaka kukopa benki lazima utapewa masharti na usipo yatimiza ndio tumefika hapa tulipo!hatuhitajiki kutafuta mchawi wetu kwani mchawi anajulikana na kila mwenye akili timamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.