IGP MWEMA ATEUA KAMANDA MPYA
KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
hapa Kamanda mwema amecheza, asante ,
kama alikua kwenye akili yangu , kuwa matatizo ya usafiri na usafirishaji DSM CHANZO NI HUYU, hakuwa nauwezo , alikua mtafuta sifa, mara nyingi nilikua namuona pale mataa ya salenda , akiongoza magari, kwangu hakuwa kiongozi makini na mahiri.