Mzee acha kutumia hisia habari za Mungu baki nazo wewe kuilinda Israel ni sera ya marekani kama taifa sawa tu na China kuilinda North Korea hayo mambo ya Mungu baki nayo wewe mwenyewe dunia haihitaji huruma.Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic,Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.
Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.
Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba.
. Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.
.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.
“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.
“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
Sera za kishetani na zitawaangamiza wote pamoja.Shetani hana urafiki wa kudumu
Nyie mnaangalia idadi wapalestina kuuawa ila hamuangalii idadi ya wayahudi kuuawa na hamas october 7 na mateka waliouawa na hamas kwa makusudiKwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic,Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.
Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.
Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba.
. Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.
.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.
“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.
“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
Hayo mambo ya kishetani baki nayo wewe mwenyewe ni sawa tu na CCM kuiba kura au kusalia madarakani kwa namna yoyote ile hiyo ni sera yao pasipo kujali matendo gani wanafanya waendelea kusalia dunia hii haina huruma na watu dhaifuSera za kishetani na zitawaangamiza wote pamoja.Shetani hana urafiki wa kudumu
Mashetani nyie mnaotumia udini kuua watu wasio na hatiaSera za kishetani na zitawaangamiza wote pamoja.Shetani hana urafiki wa kudumu
Sehemu ya pili umesema sawa.Lakini mwanzoni kwamba tuachane na Mungu ni ujinga mkubwa sana.Mungu ndiye anayeiendesha dunia na watu madhalimu hupata nguvu muda fulani kama mtihani kwao lakini baadae huwapokonya nguvu hizo na kuwapa walio wanyonge.Mzee acha kutumia hisia habari za Mungu baki nazo wewe kuilinda Israel ni sera ya marekani kama taifa sawa tu na China kuilinda North Korea hayo mambo ya Mungu baki nayo wewe mwenyewe dunia haihitaji huruma.
Israel kazungukwa na waarabu lakini wapumbavu angalau Iran ambaye sio mwarabu anaji tutumua kumpa changamoto nzito Israel ila hao wengine waarabu wanachoweza ni unafiki.
Vitendo vya magaidi kuuawa watu kama hamas juzi wamewapiga risasi mateka 6 kwa makusudi sio ushetani , magaidi wengine kama alshababu, bokoharamu, iss sio ushetani wanavyouawa watuHayo mambo ya kishetani baki nayo wewe mwenyewe ni sawa tu na CCM kuiba kura au kusalia madarakani kwa namna yoyote ile hiyo ni sera yao pasipo kujali matendo gani wanafanya waendelea kusalia dunia hii haina huruma na watu dhaifu
Watu 6 imekuuma hivyo wakati kila siku Israel inaua baina ya 50 na mia moja.Vitendo vya magaidi kuuawa watu kama hamas juzi wamewapiga risasi mateka 6 kwa makusudi sio ushetani , magaidi wengine kama alshababu, bokoharamu, iss sio ushetani wanavyouawa watu
Wewe endelea na habari za Mungu mungu huku wapalestina wakizidi kuangamizwa sasa sijui huyo mungu wako kajificha ? Unajua mwenyeweSehemu ya pili umesema sawa.Lakini mwanzoni kwamba tuachane na Mungu ni ujinga mkubwa sana.Mungu ndiye anayeiendesha dunia na watu madhalimu hupata nguvu muda fulani kama mtihani kwao lakini baadae huwapokonya nguvu hizo na kuwapa walio wanyonge.
Israel kwa mwendo huu inaelekea kupigwa na watu wadogo wadogo na bila huo umoja wa waarabu.
HAMAS si sawa na hayo makundi uliyo andika vitu viwili tofautiVitendo vya magaidi kuuawa watu kama hamas juzi wamewapiga risasi mateka 6 kwa makusudi sio ushetani , magaidi wengine kama alshababu, bokoharamu, iss sio ushetani wanavyouawa watu
Kobas huwa mna matizo ya akili, hii kugusa gusa ardhi kutwa mara 5 imeathiri bongo zenu.Kwenye mdahalo wa wagombea uchaguzi huko Marekani uliofanyika hapo jana,mgombea uraisi kupitia chama cha Democratic,Kamala Harris ameahidi kuendelea kuipa nguvu Israel kuendelea kujilinda dhidi ya maadui na jirani zake.
Katika mdahalo huo bi Kamalla pamoja na ahadi hiyo amejidai anataka vita visitishwe na kwamba anasikitishwa na idadi kubwa ya wapalestina waliokwisha kuuliwa na majeshi ya Israel.Vile vile akatilia umuhimu wa kupatikana kwa mateka.
Kabla mdahalo huo mwenzake, Donald Trum wa chama cha Republican aliwahi kumshutumu Kamala kwamba akichaguliwa kuwa raisi basi Israel itafutika baada ya miezi michache tu.Hivyo msimamo huo wa kujipendekeza wa Kamala ni kama kutoa jibu la shutuma za Trump.
Kila mwenye macho angavu hawachi kuona kwamba.
. Taifa la Marekani pamoja na ukubwa wake ni dhaifu sana mbele ya kundi dogo la mayahudi na linaongozwa na viongozi ambao hawamuamini Mungu aliyewaumba.
.Suala la kuachiwa mateka ni mtego tu kwa Hamas.Kwamba waachie mateka halafu itangazwe ushindi ambao umekosekana na kipigo kiendelee.
“Israel has a right to defend itself… and how it does so matters, because it is also true far too many innocent Palestinians have been killed – children, mothers. What we know is that this war must end,” she said.
“I will always give Israel the ability to defend itself, in particular, as it relates to Iran and any threat that Iran and its proxies pose to Israel.” aljazeera
Mungu usitie shaka yupo pamoja nao daima.Huu ni mtihani kwa anayeuwa na anayeuliwa na wanaoangalia.Wewe endelea na habari za Mungu mungu huku wapalestina wakizidi kuangamizwa sasa sijui huyo mungu wako kajificha ? Unajua mwenyewe
Yes tofauti ya marekani na third world ni kwamba marekani ina misingi yake ambayo hata raisi hana nguvu ya kwenda tofauti nayo wana clear road map ya taifa laoHiyo ni sera ya marekani hata awe nani haitabadilika.
Huwezi kuwa na maadui kila upande isipokuwa wewe ni mbaya na umewafanyia dhulma majirani zako wote.HIYO NI SERA MADHUBUTI KUPINGANA NA USHETANI AMBAO UNGEKUWA UNAFANYIKA HUKO NA MAGAIDI. MI NAONA WAKO SAWA. ISRAEL INAZUNGUKWA NA MAADUI WENGI SANA. INAPASWA ILINDWE NI TAIFA LENYE HISTORIA YA KIPEKEE. NIKIKUMBUKA 6 DAY WAR. NAONA KWELI HAWA JAMAA SI WA KAWAIDA. WALINDWE TU. MAYAHUDI NA MAARABU HAYAWEZI PATANA. WACHA WATIANE ADABU. KAMALA NIMEMKUBALI SANA HUYU MAMA.