Kama wewe ni mwanaCCM na unataka cheo, sema hovyo

Kigodoro

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
1,660
1,679
Ndiyo wasema hovyo wote wamepewa vyeo
Nape Nnauye...goli la mkono.
Kapewa uwaziri.
Abdalla Bulembo ...wapinzani tutawapa vyote lkn siyo ikulu.
Mwanaye kapewa viti maalum
Makonda.....alimtusi mzee Warioba na kumpiga vibao.
Amepewa u-DC.
Among Mpanju ....alimshambulia sana Lowassa wakati wa kampeni kwa Maneno yasiyokuwa na staha
Kapewa unaibu KATIBU mkuu wa wizara ya katiba na sharia.
Hiyo ndiyo ccm.

Naomba mifano mingine kama ipo
 
Tundu lisu alimwandika lowasa kwenye list of shame ya mafisadi wakuu waliofilisi nchi -akapewa uanasheria Wa chadema
 
Tundu lisu alimwandika lowasa kwenye list of shame ya mafisadi wakuu waliofilisi nchi -akapewa uanasheria Wa chadema

Siyo kweli mkuu. Yule kapewa kwa weledi wake. Ndiyo maana unaona wanasheria wakuu wawili wa serikali wote wanapwaya kwa Tundu Lissu. Bi Kidude mwenyewe alikuwa ana mgwaya kule bungeni. Sasa Among Mpanju atamgwaisha nani?? Kama siyo fadhila za kusema hovyo??
 
Tundu lisu hana weledi kabisa ni baada ya kumsingizia lowasa kuwa ni fisadi na amefilisi nchi na baadae lisu huyohuyo tena kuja kuwataka watu walete ushahidi kama lowasa ni fisadi!!!
 
Msigwa : atakaye msapoti Lowassa akapimwe akili
Waziri kivuli wa nini sijui... Ah bado hawajatangaza
 
Msiogope wanasemaga ovyo wakati wa uchaguzi tu , kwani ni ruksa. Sasa hivi ni wakati wa kazi, utawasikia wakinyanyua mdogo kukisema Chadema au Lowassa.
 
Siasa mchezo mchafu sana haswa kwa mtu asiwekuwa na upande wowote ambaye anayatazama yanayoendelea na kuyatafakari kwa umakini. Waliowakejeli UKAWA wamepewa heshima kubwa na JPM. Wale wale waliomdhihaki mzee wa monduli wakati akiwa CCM walikuja kufanya kazi ngumu sana ya kumsafisha. Mzee wa monduli alipoingia CDM hakutaka hata kuitumia ofisi ya UFIPA, yeye aliendelea kuitumia ile ya kwake pale Mbezi Beach. Kichekeso ni kuwaona viongozi wa CDM kina Tundu Lissu wakiamka asubuhi na mapema kwenda pale mbezi beach wakiwa na makabrasha yao, yaani wanakwenda kwa yule yule waliyemkejeli kwa nguvu zao zote akiwa bado yupo CCM. Mzee wa monduli hajawahi kuvaa gwanda la CDM, kaendelea kuvaa nguo zake za bei mbaya, yaani ni kama kajinunulia chama!. Zile kombati za Mbowe zimekwenda likizo ndefu isiyo na malipo ambayo haijulikani itaisha lini. Upande wa CCM na wenyewe unachekesha sana, wakongwe waliokuwa kwenye serikali ya Mkwere walikuwa wakisali kwa nguvu zote wakitegemea Ngosha atawapa vyeo!, imekula kwao. Hata hawa waliorudishwa wanajua fika kuwa hali yao ni tete, mguu mmoja ndani mwingine nje. Siasa mchezo mchafu kweli. Mkono mtupu hauwezi kulambwa hata siku moja. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali ni interests za kudumu.
 
Siyo nzito kwa maana ya wingi wa Maneno bali ilikuwa na mantiki kwa kipindi kile. Right idea at the right time and place.
Ndio ilikuwa na mantiki muda ule ila sina huakika kama Mbowe,Tundulissu, Msigwa na viongozi wa chadema au wanachadema walipimwa akili
 
Back
Top Bottom