Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,005
- 9,264
Hadi leo Hujui kama macho matatu imetengenezwa na mhamiaji kutoka syriaKafiri anakutengenezea macho matatu,tv,internet,magari ya kisasa na kila kitu kizuri baadae unashupaza shingo kumsema kwa msaada wa visima na misikiti
Hadi leo Hujui kama macho matatu imetengenezwa na mhamiaji kutoka syria
Marekani kama marekani ni nchi ya wahamiaji kama ulikuwa hujui na ndio policy yao hadi leo, ndio maana wana green card na visa nyingi jwa ajili ya kuingiza watu kuyoka mataifa mengine kwa mipango yaobya muda mrefu hakuna wa kubafilisha hilo
Unajua kama biden kwao ni ireland? Musk kwa southafrica leo ndio anaiebdesha marekani
Hii chai sasa.Hadi leo Hujui kama macho matatu imetengenezwa na mhamiaji kutoka syria
Kwani hujui kama steve jobsa ni muhamiaji kutoka syria na baba yake hadi leo anauza restaurant marekaniHii chai sasa.
Soma hii chini itakusaidia kuongeza kitu kichwani, marekani ni nchi inayojengwa na wahamiaji na hiyo ndio silaha yao kuu hawa kina arnold shwarzeneger ,biden etc wote wahamiaji tu na wanaendelea kuingiza wageni kila mwaka kupitia green card na asylumHii chai sasa.
Hata wakiishi kwenye sayari yao bado watauwana tu. Shia vs Sunni vs wahabi vs salafiWaislamu wanatakiwa wakaishi kwenye sayari yao wasichangamane na binadamu
Du! Unapendekeza nini iwe suluhu kwa wana wa makobaziHata wakiishi kwenye sayari yao bado watauwana tu. Shia vs Sunni vs wahabi vs salafi
Hakuna suluhu. Ni kuuwana mpaka mwisho wa duniaDu! Unapendekeza nini iwe suluhu kwa wana wa makobazi