kama wewe baunsa ingia uone

Bata mkali mla nyagi tehe tehe uswazi bwana
 
Kula bata ndio hobby yangu.
Huyo lazima akache akiniona.
 
aisee nyie hamumujui huyo bata alikuwa anafukuza watu ile mbaya hilo geti lipo Arusha sehemu inaitwa kimandoru ya chini
 
Hapo mkali siyo bata ni kitu kingine nyie hamuelewi.
 
Bata mkali mla nyagi tehe tehe uswazi bwana

huyu bata anakatwa mabawa kwa sababu akikasilika anaruka ka choppa kama kutoka kimara hadi posta na kurudi bira kutua chini. Mia
 
aisee nyie hamumujui huyo bata alikuwa anafukuza watu ile mbaya hilo geti lipo Arusha sehemu inaitwa kimandoru ya chini

asante kwa kunisaidia mkuu. hawa walizani nawadanganya au walikuwa wanamfananisha na wale bata wanao zurula kule kwa mtogore na hananasif. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…