Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,170
- 8,622
Yaani hawa maafisa wa haashauri ambao wote kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa umma wanatakiwa kuwa watiifu kwa serikali iliyopo madarakani. Uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki
Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi zinawataka wawe watiifu kwa serikali iliyopo madarakani.
Tunahitaji katiba mpya ambayo kutakuwa na watu huru kabisa. Sio hawa walioteuliwa na INEC wakati kanuni za utumishi zinawataka wawe watiifu kwa serikali iliyopo madarakani.