filadelifia toto
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 111
- 41
Haya tuambie na wewe jibu hapo ni lipi?Km unafaham kitu inayoitwa "Magazijuto"huwezi shindwa na kijiswali km hicho
Hehe asije ibuka na AHaya tuambie na wewe jibu hapo ni lipi?
CHaya tuambie na wewe jibu hapo ni lipi?
Haya, hongera sana ilibaki kidogo tu ukoseee!
Sawa mkuu. Nihivi:nimeona jamaa kabandika kwenye Profile yake, engineer Dawasco, cha ajabu.kashindwa hako kahesabu. Namwingine, kwa mjibu wa profile yake ni Technician naye kabugi kaja,Architecture nae kashindwa. Nimebaki najiuliza Hizi fani zao au wanajipachika? Je kama ndiyo watu wetu, Tutaweza kuendesha viwanda?Inaelekea unataka kuwasilisha jambo la maana lakini kwa maelezo haya yamejichanganya. Tafadhali fanya editing kidogo.
9na hapa je, jibu sahihi ni lipi
Haya tupe na ww jibu lako ssMmmmm nawewe ndio walewaleTanzania ya viwanda
Unafanya hesabu unavotaka ww5 + 5 = 10 × 5 = 50 + 5 =?tz ya viwanda
1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
1na hapa je, jibu sahihi ni lipi
Na wewe ni kati ya hao mkuu au,maana dah,nimepata shida kweli kweli kukuelewa.Mkuu hatuna "wahitimu" wa vyuo vikuu.Huo ndio ukweli.Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?
mi mwenyewe mepata 1 japo olevel nina kamsaki,,.. ah sitak hesabu mimi