filadelifia toto
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 111
- 41
Wakuu, nimekuta kibandiko kule wanako bandika C.V. ndiyo wanako bandika CV, maana huitaji kuwa na kurunzi kuona wahitim walio pitia vyuo vikuu 3, RUCO, Makumila, kamalizia Mzumbe. Yes of course, ni vizuri watu wanao saka elimu NANI jambo lakuungwa mkono. Nisiwachoshe, nilicho kiona ninaimani kuna na wenzangu humu JF,wameshudia kwamacho yao.wataalam 3 kwenye fani zinazo shaabiana nakurandana na mahesabu wameshindwa kama siyo kuferi hezabu ya darasa la6 primary,
1:Engineer
2:Architectural
3: Technician
Hezabu yenyewe ilikuwa 5+5×5+5=?
A 100
B 55
C 35
Najiuliza hivi vibandiko vya CV wamejigawia tu au kweli nifani zao? Je kama moja wapo ktk hao niliyo wataja jibu lake ni A hapo tutaendesha viwanda? Au ndiyo kwenye vyeti feki?