sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,053
- 1,304
Wacha niende moja kwa moja kwenye mada sitaki hata salaam leo nimevurugwa,
Huwa najiuliza sana kuna nini hapa iweje mtu ambaye anafanya vitu vingi ili umtamani, anakukataa ukimtongoza.
Hebu fikiria vitu ambavyo anafanya mwanamke ili apendwe na mwanaume;
-Anavaa nguo fupi au ya kubana ili mradi tuone sehemu ya mwili wake wa ndani
-Anajipaka make up na kutinda nyusi ili tuone uzuri wake
-Wanaongeza makalio (chura) ili tuwapende
-Wanawaangalia wanaume kwa jicho la mvuto ili mradi atikise moyo wako
-Wanapiga mapicha ya kutamanisha tamanisha na kuyatupia mitandao ya kijamii ili mradi tu umpende.
Hii haina ubishi mwanamke yuko tayari kufanya lolote yaani chochote ili mradi tu apendwe na mwanaume, sasa swali linakuja mbele ya kufanya haya yote kwanini tukiwatongoza mnatusumbua wakati mnatutamanisha wenyewe?
Cc
Miss natafuta
Faiza Foxy
Miss chaga
Na wengineo wote na wanaume wanaojua kwanini wanatukataa wakati wanatushawishi wenyewe tuwatongoze.