Mkoma SUA, nae alikuwa msumbufu na somo la general chemistry!dah,kama vp tuwaenzi wale maticha wanokoooo,kwenye level zote angalao kwa kuwataja majina tu
Ndetiyo'mazengo primary
'huyu alikuwa akikuta sehemu yoyote lazima akuangushie stiki za hatari'
Magadula'lake sec'huyu naye alikuwa balaaa,lazima akufanyie tu
Mugarula'mazengo tech'mnoko huyu akikomalia ishu lazima utimuliwe shule tu
Sembuche'SUA'full majigambo ya kukamata watu kwenye maths
......................
.........................
TIJO-Makumira sec alikuwa na balaa kichizi akiwa zamu
Damme - Makumira sec piga sana madenti ngumi za mgongo jamaa alikuwa anapenda ubabe kinoma
Pre (elisante)-Makumira anakuuliza swali ukimjibu anakupiga,ukikaa kimya anakupiga sijui alikuwa anataka nini
dah,kama vp tuwaenzi wale maticha wanokoooo,kwenye level zote angalao kwa kuwataja majina tu
Ndetiyo'mazengo primary
'huyu alikuwa akikuta sehemu yoyote lazima akuangushie stiki za hatari'
Magadula'lake sec'huyu naye alikuwa balaaa,lazima akufanyie tu
Mugarula'mazengo tech'mnoko huyu akikomalia ishu lazima utimuliwe shule tu
Sembuche'SUA'full majigambo ya kukamata watu kwenye maths
......................
.........................
usimsahau unyama unyama pale mazengo , lushita na dhebu wa mazengo primary.