Kama upo ARUSHA hii inakuhusu

... you hear stupid people saying serikali ni sikivu.
 
labda niwaulize, hao wakubwa wa Tanesco wanaishi wapi? kwao kuna umeme? na kama ni kuwakomoa Chadema, CCM kwao wana umeme? tukienda mbele tukirudi nyuma huu ni upumbavu usio na maana, Kikwete ajiuzulu, nchi imemshinda
 
sijui ndio maandalizi ya miaka 50 au watu wamchoka kazi ni aibu umeme kukatika kwa masaa 14 leo siku ya tatu wanafanya hivyo then wanategemea pato la mkoa na taifa liongezeke.aaah!!! Kwa stail hii itachukua miaka 50 ijayo kwa tanzania kuendelea.yani kama kuna adui mkubwa wa maendeleo basi ni taneso.
 
Jana kwetu Ngurero umerudi asubuhi saa 12. baada ya kukatika kwa siku mbili. TANESCO ni bora ibinafsishwe tu ni kwero sana halafu hawa wafanyakazi wake wana dharau sana.
Ngulelo!!!!! Usituaribie majina yetu
 
Mkuu! Naunga hoja mkono 100% tena ikiwezekana ianze mara moja. Shenziiii sanaaaa!!
 
jana walirudisha saa moja usiku saa tatu wakauchukua ndi mpk sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…