Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,382
Single maza ni malayaTofauti ya single maza na mwanamke asiyezaa ni kuwa,
Single maza anauzoefu wa kutendwa na kuachwa hivyo anaheshimu na kutukuza ndoa kwa bidii zote tofauti na upande mwingine..
Mbona kwa hasira sana...😀Single maza ni malaya
Na hapo alikua anaandika na kufuta...😁Nlimpigia simu bibi mzaa mama nkamwambia kua nataka kuowa single M
Baada ya kama saa moja alikuja na mkeka huo🙌🙌
Yale maelezo yalikua yanakabia juu
Chini
Kulia na katikati
Wanaoshindwa kuolewa ni asilimia ndogo sana,Single maza ni malaya
Kama ameshindwa kuitunza ndoa au mahusiano yake mpaka akaachika hiyo tayari ni red flag kuwa hafai kuwa mke
Kupigwa pipe kuzalishwa na kuachika huo ni uzoefu wa umalaya hauna uhusiano na kuwa mke boraSingle maza anauzoefu wa kutendwa na kuachwa hivyo anaheshimu na kutukuza ndoa
We jamaa sio pow😂Na hapo alikua anaandika na kufuta...😁
NAKAZIAni vyema kuanza mechi 0-0
Sijui kwanini hili swala la kuwananga single mother linakua hivi, Humu humu kuna wanaume wamewatia mimba wasichana wa watu na kuwatelekeza+kukana mimba, then after huyo huyo mtu ndo yuko mstari wa mbele kuwasema Single Mother.Ndugu zangu salaam
Tulisha ongea na kuandika sana kuhusu single maza na maoni yalitolewa mengi sana ,ila kuna watu hawataki kusikia kabisa sasa jibu rahisi kama unataka kuoa single maza ( mwanamke aliye zaa na mwanaume mwezio ambaye yupo hai) fanya hivi.
1: Nenda kijijini kwenu muulize bibi yako ( mama mzaa baba ) kama yupo hai , mwambie kabisa nataka kuoa single maza tena mfafanulie kwa kina ili akuelewe mwambie ni mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine na mwanaume wake yupo hai ikibidi watajie mpaka koo anazotoka huyo mwanamke
2: Kama bibi yako upande wa baba hayupo hai waulize dada zake na baba yao watakupa majibu
3: Kama wote hawapo hai waulize dada zako mliozaliwa tumbo moja na kwa baba mmoja waambie kabisa nataka kuoa single maza .
Wasikilize kwa makini ,usilete ujuaji wala kutetea hoja na majibu watakayokupa hakikisha unayafanyia kazi kisawasawa. Maana sisi huku Jf tumesema sana hamtaki kusikia
Nawatakia kilala heri
Umeona dunia na mashangazo yake Mkuu. Dunia ina mapembe na mapembeloSijui kwanini hili swala la kuwananga single mother linakua hivi, Humu humu kuna wanaume wamewatia mimba wasichana wa watu na kuwatelekeza+kukana mimba, then after huyo huyo mtu ndo yuko mstari wa mbele kuwasema Single Mother.
Single maza huwa hawana upendo wa kweli ni wanafiki tuBinafsi kuoa Mwanamke mwenye mtoto wa mtu mwingine inategemea na Umri wa huyo mtoto. Kama ni chini ya mwaka, yes I can.
Pia sababu za yeye kuwa single Mama ni zipi.. na huyo mwenyew mtoto yupo wapi.. attachment yake kwa mtoto/Mama mtoto ni ikoje