Kama Unataka Kunila Si Useme Tu Usizunguke?

We acha tu.. kwenye nafsi yangu upande mmoja huwa unawaonea sana huruma hao mabinti, upande mwingine nafsi inatamani nifanye nao mapenzi sababu wananivutia, hivyo nakua dillema 🫤 Seran
 
Jamaa anaomba namba ili amle mrembo.
Mrembo akimuuliza jamaa anataka kula mzigo? Jamaa anaanza kulalamika na maneno ya kashifa kibao.
Huyu hajielewi ana matatizo makubwa ya kisaikolojia au uanakijiji umemkamata sana.
 
Jamaa anaomba namba ili amle mrembo.
Mrembo akimuuliza jamaa anataka kula mzigo? Jamaa anaanza kulalamika na maneno ya kashifa kibao.
Huyu hajielewi ana matatizo makubwa ya kisaikolojia au uanakijiji umemkamata sana.
Kabisa! ni haelewi anataka nini!
 
Ugunduzi wako sio wa kweli.
 
Lawama hazisaidii mleta uzi, maana huwezi jua ni nini mtu anataka? Haya mambo ya kuwasema Wanawake vibaya ni ushamba sana. Ukinyimwa utaleta nongwa, Ukipewa utasema ni malaya tu hawa wakitaka pesa utasema wana tamaa.

Wawe vipi hawa viumbe ? Katika mazingira yako ya matamanio yako ukikutana nao watakavuokuja na wewe wapokee hivyo hivyo. Halafu baada ya hapo kausha tu.
 
Summary from AI ila kakushauri punguza makasiriko na maisha ya watu wengine. Ishi maisha yako😀😀

Thread Summary
The user "baharia 1" starts a discussion expressing his strong frustration and anger regarding what he perceives as a widespread trend among women. He claims that many women, especially young ones, are openly engaging in prostitution or transactional sex for very low prices (10,000-20,000 TZS). He observes them in bars, actively seeking men to buy them drinks and make financial demands.

He asserts that these women are lazy, avoid honest work, and are solely focused on obtaining quick money. Furthermore, he laments that even when men approach women with genuine intentions for a relationship, they are immediately met with requests for money or phone credit, leading to men eventually blocking them.

Baharia 1 concludes that women have lost their shame and respect for genuine courtship, viewing every interaction as a potential financial gain. He illustrates this with an anecdote where, after taking a woman's number at a bar, she directly told him, "If you want to 'eat' me, just say it, don't beat around the bush," implying a straightforward demand for sex
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…