Kama Unataka Kunila Si Useme Tu Usizunguke?

Umeongea kwa uchungu mkubwa.
 
Wewe ni me au ke, tuanzie apo kwanza.
 
Tatizo limeanza na haki sawa kwa wote
 
Ni kabila Gani huyu?
Mbona anatumia Nguvu namna hii kutukana Mama,Dada zake na Shangazi zake?
Mimi huku nawaona wanawake wako busy wakipambana balaa sokoni, barabarani na kwingineko.
Huyu wanawake itakua kuna kamchezo walimfanyia so ili apone lazima kila siku ainue mabango kutoa sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…