Kama unataka bango la 3D pita hapa

Kama unataka bango la 3D pita hapa

Alkam Alkam

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
603
Reaction score
512
Tunatengeneza Mabango Ya Designs zote 3D,2D,Banners n.k ambayo unajua au unaitaji ofisi zetu zipo sinza mori karibu na Bigbon kwa maelezo Zaidi Piga Simu 0759117175

Sampo chini

Karibuni Sana.

20230130_065156.jpg
20230130_065115.jpg
20230130_065046.jpg
20230130_065014.jpg
 
Bei huwekwa kwa SQM au Maneno

Wewe ndo wajua, wewe ndo watakiwa uweke aina ya mabango na bei
 
Bei ni tofauti kulingana na ukubwa wa bango lako bango la mita 3 si sawa na bango la mita 1.
Kwa ufupi ni kwamba umegoma kuweka bei,kweli uende dukani kuuliza bei ya mchele,muuzaji anakwambia bei ni tofauti sababu kuna mchele wa Mbeya, ifakara na Kahama. Utajisikiaje ukijibiwa hivyo? Na utajisikiaje muuzaji akikwambia mchele wa Mbeya 1kg ni 2400,wa Kahama 2100 na wa Ifakara 2000?
 
Mf
Kama bango ni la kuweka LED bei yake ni tofauti.

Gharama za kukata maneno yajulikana board ya acrylic ni kuanzia 10000-40000 kutegemeana na upana wa board

Board huuzwa kuanzia 25,000 na kuendelea hivyo

Wewe kazi yako ni kutueleza

Bango likiwa hivi bei yake ni Tsh kadhaa

Likiwa hivi ni kiasi kadhaa

Usisahau kuwaambia wateja wako kuwa wanahitaji lipia TRA, kama lakaa road reserve waende tanroad vinginevyo watakuta limechorwa nyekundu
 
Hata lile juu ya duka ama frame ya biashara ni la kulipia?
 
Kwa ufupi ni kwamba umegoma kuweka bei,kweli uende dukani kuuliza bei ya mchele,muuzaji anakwambia bei ni tofauti sababu kuna mchele wa Mbeya, ifakara na Kahama. Utajisikiaje ukijibiwa hivyo? Na utajisikiaje muuzaji akikwambia mchele wa Mbeya 1kg ni 2400,wa Kahama 2100 na wa Ifakara 2000?
Nahisi kiswahili wajua vizuri mkuu na umeandika vizuri pia [emoji2][emoji2]
 
Nahisi kiswahili wajua vizuri mkuu na umeandika vizuri pia [emoji2][emoji2]
Duuh Yani kama kuweka bei ya biashala yako mwenyewe unakuwa mbakhir, sipati picha akaehitaji uumpe ushauli wa kiufundi itakuwaje[emoji848]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom