Kama unatafuta Fundi tiles

Kama unatafuta Fundi tiles

vilegwe.vile

Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
17
Reaction score
3
usikubari kuharibiwa kazi check na mm hapa
 
Attachments

  • 1411493480434.jpg
    1411493480434.jpg
    41.3 KB · Views: 282
  • 1411493507732.jpg
    1411493507732.jpg
    33.4 KB · Views: 253
Wewe ndo hutaharibu???
Unatoa perfomance bond kabla ya kuanza kazi?
 
unaweza kuweka wood tiles. or wood froo

atakwambia anaweza!!! bwanaweeee, ndugu yangu mmoja nilimletea floor ya bamboo, aliyekuwa anamfanyia kazi zake za tile si akasema anaweza bana, akapigilia misumari kwa juu kisha akajazia na unga wa randa...HASARA!
 
huyo hajui kwenye mbaoo una bandika nangundi au na cimenti na wavu
 
atakwambia anaweza!!! bwanaweeee, ndugu yangu mmoja nilimletea floor ya bamboo, aliyekuwa anamfanyia kazi zake za tile si akasema anaweza bana, akapigilia misumari kwa juu kisha akajazia na unga wa randa...HASARA!

pole sana .mi kabla sijakupa kazi lazima nikuulize maswali kama ushawahi kuharibu kazi?. ndio nikupe kazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom