mkongwe augusty
Member
- Jul 10, 2013
- 26
- 1
Duuuh duuh kubandika manyoya ya ndege tena....what's that mmmh Elimu hii ishauzwa namna gani hiyo sasa
Jana hapa Dar watu wamepiga usaili ili waletwe huko Arusha kufundisha diploma in education lkn mishahara nasikia bora ubebe mizigo Ubungo.Kanjibahi noma sanaaaaaa
Nishidaaaaa, Ila arusha campus hakuna diploma kuna special program miaka mitano hao ndo majanga zaidi kwani topic mfano mechanics wanafundishwa siku moja imeisha, kumbuka hawa special coz wengi hawakwenda advance ila wanamezeshwa kiivyo, wanapiga paper na wanapata GPA hadi 4.9Jana hapa Dar watu wamepiga usaili ili waletwe huko Arusha kufundisha diploma in education lkn mishahara nasikia bora ubebe mizigo Ubungo.Kanjibahi noma sanaaaaaa
Ndugu zangu Watanzania, natoa Uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mi ni mwanafunzi Wa hapo st. Joseph arusha campus, typo home tunasubiri hat a yetu kwani tuligoma kuingia darasani mwezi Wa 8 kutokana na chuo kukosa mtaala wa kufundishia.
Toka tumeripoti chuon halo mwaka jana mwez Wa kumi hatukupewa prospector wala curriculum wakati huo tunachukua bachelor of science in education lakini hatufundishwi coz hizo badala yake tunaimbishwa nyimbo za watoto wa chekechea darasani.
Tumefatilia hadi TCU wanasema chuo hawakijui wakati sisi tumechaguliwa na hao TCU kwenda chuoni hapo. Mbaya zaidi wote tunasoma masomo yanayofanana uwe with mathematics, physics, chemistry, biology au computer science utafanya practical za masomo yote.
Practical zenyewe ni za kutafuta manyoya ya ndege na kuyabandika kwenye daftar. Naishangaa serikali yetu, maana anakuja mkuu wa wilaya ya arumeru kilipo chuo hcho anasema hakipo katika vyuo vya wilaya yake. Jamani watanzania epekuni ulaghai wa hawa wahindi
Yaan ndg st. Joseph zote zipo hivyo katika education ila tuliogoma ni wa arusha tu. Songea, makambako na dar wanaendelea kusoma na next week ndo wanaanza end exams. Sasa jiulize vyuo vingine vinaingia mwaka mwingine wa masomo st. Joseph bado wapo vyuoni. Wito kwa ndg zangu wa st.Joseph dar mnaosoma BSE. Hivi kweli mnasoma education bila coz muhimu kama curriculum development, philosophy of education, socialogy in education, na kurudia content zinazofanana kila semester, mfano education psychology I &II. Communication skills I & II hamuoni zinafanana? Kusoma hamjui hata picha basi? Kila siku nikuimba action song darasani halafu unajiita msomi mwenye bachelor degree in science education with physics, chemistry, biology, mathematics au computer science? Acheni UFA...................................
wahindi hawana akili na ni watu wa ajabu sana, nilishawahi kusoma college of engg. mbezi wanachokifanya ni kutumia syllabus ya Anna university regardless ni useful kwetu au laah! hata vitabu vya refference wanataka utumie vya Anna university yaani kila kitu ni Ana Anaa had kero!
Kuna sehemu.kama wadau mmetia chimvi hivi