kama Unaona inawezekana.........

kama Unaona inawezekana.........

Madigo

Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
24
Reaction score
11
[h=5]Wapendwa dada zangu katika mapenzi na mnaopenda kuangalia tamthilia za Kimexico na Kifilipino,

Mnaona jinsi Alejandro anavyomjali Maria Clara?
Mnaona jinsi anavyomuangalia machoni kwa upendo?
Mnaona jinsi anayombeba kwenye farasi mweupe kwa mahaba?
Mnaona jinsi anavyompigia simu akimmiss na kumbusu?
Mnaona jinsi anavyomnunulia vitu vya thamani na vizuri?
Mnaona kwenye anniversary yao anavyomnunulia gari zuri jekundu?

Je, ungependa na wewe mambo kama hayo yakutokee kwenye maisha ya mapenzi?

Fuata hatua zifuatazo;

1. Hamia Mexico au Ufilipino.
2. Uwe na sura nzuri kama Maria Clara.
3. Mtafute Alejandro.
4. Igizeni tamthilia kwa pamoja.
.
.
.
.
.
.
.
Au amka kwenye hiyo ndoto ya kuwa na mtu kama Alejandro na uanze kumpenda kwa dhati huyo mpenzi wako wa sasa amnbaye hela yake ni ya kuunga unga, ana kitambi kisicho na fomula na msumbufu[/h]
 
Umenichekesha kweli; ila na nyie si mnamtaka mwanamke kama wa rafiki yako au kama mama zenu?????
You know what you have to do.........🙂..........🙂
 
Umenichekesha kweli; ila na nyie si mnamtaka mwanamke kama wa rafiki yako au kama mama zenu?????
You know what you have to do.........🙂..........🙂
Hapana bwana nyie ndio mnaongoza kuwa na ndoto za kwenye tamthiliya aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom