nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
NoMoPhoBia ni jina jipya la Ugonjwa lililopatikana baada ya kupigiwa Kura na moja ya chuo kikuu nchini Marekani, kisa na mkasa kufikia maamuzi hayo. Huwa wanautaratibu wakupigia kwa Misamiati mipya kila mwisho wa mwaka ili waiweke kwenye Dictionary yao, ndio wakapendekeza NoMoPhoBia lipigiwe kura na likaibuka na ushindi.
NoMoPhoBia humtokea nani? Wao wanaita ugonjwa lakini tafsiri nzuri ni hali inayomtokea mtumiaji wa Simu, Tablet, au Pad mara tu anapogundua hana kifaa chake iwe ameisahau kwenye gari, ofisini, nyumbani, au popote pale.
Kwa hiyo ile hali inayompata mtu