Kwani kwenye afrocongo kuna moonwalk style shubamit eboooh.Ameiga kila kitu toka kwa Afro Congo
Kalale Amina mke wa kiba100Sawa Tanashadona tumekusikia
Bora wewe umeongea hoja za kimantikiSijui watoto wetu niwazima kule SA ????
Niliwaza San jana baada ya gari la mgeni furani kibopa kushambuliwa na wazuru
Tajiri mmoja huko SA hakuwa mzuru walitaka waue ila aliokolewa na polisiMgeni gani huyo??.
[emoji23][emoji23][emoji23]we jamaaa wewe...ndo uzi tayari???
Jamaa anajituma sana