Umenikumbusha Ngoma ya Koffi sikuzile ilikwenda kwa jina la "Amufilla mu-yaya"
Umenikumbusha Ngoma ya Koffi sikuzile ilikwenda kwa jina la "Amufilla mu-yaya"
Hiyo ngoma ilitoka niko Std 6, naikumbuka sana.
Kwenye Umitashumita kipengele cha michezo ya ndani mimi nilikuwa kwenye igizo, liliitwa ukimsomesha mtoto wa kike umesomesha jamii.
Kwa hiyo mimi nilikuwa mfano wa mtoto wa kiume aliyesomeshwa na alikuwa anashinda disco tu, na wimbo huo ndo DJ alikuwa anaucheza sana tukiwa disco.
Back then.
Hapo umekimbusha siku za akina Arluse Mabele, Ngoma Lokito na akina Awilo Longamba kabla haja hamia upende mwingine.Amufilla Muhayaa eehe eeeh.....
Hhahahahahahahaaaaa, umenikumbusha jinsi nyimbo za zamani zilivokuwa zinatafutiwa maneno ya kiswahili na zinaimbika kama kawaida....
Kuna huu, ''mayai ya kuku na bata nayala, iyee mayai ya kuku na bata nayala
Ukichanganya na soda na chai vinanogaa...
Alisukuma dagala salamaleko a dagala adagala alaa akalalaaa...
Mnawisheee, mnawishee, mtoto akinya mnawishee mnawishee manwisheeee
Yeeyooooo, atuukuutuumaa maa tukutuku maa seeluumbaa.....'' Baabaa Boziana.
Hapo umekimbusha siku za akina Arluse Mabele, Ngoma Lokito na akina Awilo Longamba kabla haja hamia upende mwingine.
Ilikua raha sana sikuzile
Kwaraha zangu zote.....Basi endelea kuburudika kwa nafasi yakoo,
Kama nakuona unatikisa kisigino na magoti ahahahahhaaaa.
Amufila mu yaya maaweeee iyeee iyee (nimekazia tu)Umenikumbusha Ngoma ya Koffi sikuzile ilikwenda kwa jina la "Amufilla mu-yaya"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poleeee....
Ndomboloooo, ndombolaa ndomboloo
Ndombolo ya kula mayenueeee..... alasteeee
Alee aleee aleeleeleelee mama mukurukuru oohh...
Hhahahahahahhaaaa.