Kama una ratiba ya kujenga njoo nikukopeshe kiwanja.

cccltd

Member
Feb 18, 2017
64
18
CCC LTD , Ni kampuni inajishulisha na uendelezaji Makazi , Upimaji na uuzaji wa Viwanja,
[HASHTAG]#pia[/HASHTAG] tunashughulika na ushauri wa biashara mbalimbali na utafutaji na uwezeshaji wa FURSA mbalimbali kama MIKOPO ya miradi mikubwa ya ujenzi ,kilimo , usafirishaji nk, (note * hatutoi MIKOPO ila tunaplay part kama consultant na kama business linkers)

Tunapenda kuwatangazia wale wenye bajeti ya kujenga kuwa tunakopesha Viwanja kwa malipo ya miezi 12 au zaidi kulingana na maelewano , unaweza kuanza moja kwa moja ujenzi baada ya mikataba na kukidhi vigezo.
* Walengwa , Watanzania wenye uhitaji wa nyumba.
# Lazima ujenge chini ya kampuni yetu ( as property developer)
# lazima uwe na pato la uhakika ( mfanyabiashara , mkulima au mfanyakazi.
# lazima uwe unabajeti ya ujenzi kwa % kadhaa kulingana na mahitaji ya ujenzi.
# uwe na uwezo wa kupunguza deni kila mwezi au kulingana na makubaliano.

* Uwe tayari kujenga kigamboni, kibaha au mvuti.

Wenye bajeti kamili inayofikia Zaidi ya mil 70 na kuendelea tutawauzia / kuwakopesha Viwanja kwa nusu ya bei , .
** Viwanja havitazidi sqm 600,
Wasiliana nasi
0762781778 whats up, 0762 576878, 0674880470
 
Back
Top Bottom