Kama una ndugu, jamaa au rafiki yupo Afrika Kusini kuna asilimia kubwa anajihusisha uhalifu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Ukweli mchungu ila habari ndiyo hiyo.
Maisha ya Afrika Kusini yasikie kwenye isindingo japo ilishamalizika. Napo wataja wahusika asilimia kubwa wapo kwenye kundi la uhalifu kwa madiba.

Wengi wao wamejikuta hata kama sio washiriki wa uhalifu ila wapokeaji wavitu vya uhalifu na mambo ya kihalifu.

Afrika Kusini ndio nchi ya kwanza afrika kwa uhalifu na usishangae Kila kukicha magroup Yao ya mabaharia wanapost RIP.

Watoto wa mbwa mwitu, panya road, uswazi, walioshindikana, waliokimbia kesi nchini, wanataka uhuru wa kuwa wahalifu zaidi ya nyumbani Tanzania wote wanapenda kwenda huko.
 
Wana group lao wanaita mabaharia huko fb kila siku wanapost vifo tena vijana wa dar na tanga ndio wanaongoza kufa huko na inshu kubwa ni wizi na uuzaji madawa
 
Ukweli mchungu ila habari ndiyo hiyo.
Maisha ya Afrika Kusini yasikie kwenye isindingo japo ilishamalizika. Napo wataja wahusika asilimia kubwa wapo kwenye kundi la uhalifu kwa madiba.

Wengi wao wamejikuta hata kama sio washiriki wa uhalifu ila wapokeaji wavitu vya uhalifu na mambo ya kihalifu.

Afrika Kusini ndio nchi ya kwanza afrika kwa uhalifu na usishangae Kila kukicha magroup Yao ya mabaharia wanapost RIP.

Watoto wa mbwa mwitu, panya road, uswazi, walioshindikana, waliokimbia kesi nchini, wanataka uhuru wa kuwa wahalifu zaidi ya nyumbani Tanzania wote wanapenda kwenda huko.
Acha ramli chonganishi. Hata hapa bongo vibaka wapo na wamejaa. Kwa hiyo siyo kila anayebaki bongo atawin maisha.

encourage vijana wakatafute maisha Kokote.
 
Bahati nzuri wewe ni Kaka yake shetwain. Ila wakikugundua siku zako zitakuwa zinahesabika. Yupo baharia mmoja alitoa taarifa kuhusu wenzake wanachofanya huko kwa Madiba. Haikuchukua muda huyo jamaa akatendewa kitu ambacho hatakuja kukisahau. Ni hatari sana maisha ya huko na ni kama ya Kimafia ambayo wanaapa kutotoa siri kuwahusu, Omerta.
 
Mim nna rafiki zangu nilomqliza nao shule wapo huko nikiwauliza mishe gani wote wanauza unga,na wana mipira kama wenyewe wanavyoita.
 
Back
Top Bottom