santana6060
Member
- Apr 9, 2022
- 22
- 14
Udereva wa magari ya abiria.Ndio nini hiyo VETA PSV?
🙏Udereva wa magari ya abiria.
Ni kozi ya wiki mbili tu?Udereva wa magari ya abiria.
Ndio. Darasani na bara barani.Ni kozi ya wiki mbili tu?
Sawa nduguNdio. Darasani na bara barani.
Pale hamuendi kufundishwa gari. Inatakiwa uende ukiwa unajua kuendesha hasa gari ya manual.
Bila ivo hutoboi.
Nenda NIT ukafeli live bila chenga.
Mara kumi usubiri cheti kuliko ufelishwe!
Kwanini ni kozi ya wiki mbili?
Tatizo ni nini mpaka vyeti vichelewe kiasi hicho mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi waliomaliza mwezi wa 1 ndio wamepata vyeti mwezi huu, bora NIT hata gharama ziko chin kuliko pale na vyeti vinawaiDoh yani nilikua na mpango wa kwenda kuchukua lena niende kujiunga pale VETA Chang'ombe. Je na wenzako mliomaliza pamoja nao hawajapata vyeti?
Bora NIT kaka hakuna vipengere na Ada yao iko chini vyeti mapema tu, uku unasugua sana imagine miez zaid ya 3 hama zaid bila kaziNenda NIT ukafeli live bila chenga.
Mara kumi usubiri cheti kuliko ufelishwe!
PSV = Passenger Service VehicleNdio nini hiyo VETA PSV?
Yah na kabla ya kozi test ni basi LA tata abiria 45 ukifaul test ndio unalipa Ada kusoma, ila pia kufeli kupoNdio. Darasani na bara barani.
Pale hamuendi kufundishwa gari. Inatakiwa uende ukiwa unajua kuendesha hasa gari ya manual.
Bila ivo hutoboi.
Maelezo mazuri mkuu. Asante.Ndio. Darasani na bara barani.
Pale hamuendi kufundishwa gari. Inatakiwa uende ukiwa unajua kuendesha hasa gari ya manual.
Bila ivo hutoboi.