Kama umepitia jandoni Pitia hapa tuwasimulie vijana Dar

Ukatili tu. Mwanangu simfanyii huu ujinga.

Na life lessons utapata tu through toutoring and experience sio hadi ufanyiwe ukatili.
 
C ndio maana vijana wengi wanagongwa cku hiz wamelegea Kama Mlenda wanachojua ni kwenda kuoshwa miguu tu saloon
Hata mume wa shilole nae alienda jando uko kijijini lakini shishi alilia mapmz matamu kwa nuhu mziwanda mpk leo bado anaweweseka na nuh kasha oa we jidanganye na wazee wengi wake zao wanatoka na vijana wa mjini utatafuta kila sababu ya mapnz tuwe kama watt wa kiume sio kutharau watt wa watu kumbuka unafamilia wewe mdomo huumba jmn tuombe mungu
 
It's embedded in every man's DNA to keep men affairs between men. Now I get it why mamas would rather play same love, coz bros done turn tricks while the real tricks still exist.

The internet is turning almost every one a ho for attention.
 
Sisi jandoni ni muhimbili,so hakuna mpya,ila nyie vumilieni maumivu sisi watoto Wa kishua hakuna kuvumilia
 
Kwanza natanguliza salaamu kwenu.

Katika vitu ambavyo siwezi kuvisahau katika maisha yangu ni Jando, hii inapelekea nikiona damu tu nakumbuka.

Kwanza nilitahiriwa kipindi najua mema na mabaya,
pili nilitahiriwa bila ganzi,
tatu nilitahiriwa polini,
nne sijawai kubembelezwa pindi tu nilipotahiliwa, maneno ambayo nilikuwa Nayasikia, acha kulia mwanaume wewe, na maneno mengine.

JAmani jandoni si mchezo nilikaa mwezi mmoja na nusu, nikiuguza kidonda polini, unalazimishwa kutoa bandeji bila ya ganzi, unapewa athabu ngumu bila Sababu za M singi, unanyimwa chakula ambacho wazazi wako wamempa mtu unayekaa nae, ye akipewa anakula chakula mbele yako na unaambiwa nenda katafute, unaenda kuchimba mizizi na kuua wanyama wadogo kama sungura ndio chakula chako.

Jandoni tunafundishwa jinsi ya kuishi na mwanamke, ndio mana ni Mara chache kumsikia mtu aliyepitia jandoni analalamika juu ya wanawake,

Tunafundishwa Heshima, tunafundishwa kujitegemea na kusimama kama mwanaume sehemu yoyote,
Tunafundishwa kuwa Msiri, (hata hapa nimevunja sheria ya jando)

na mambo mengine mengi zikiambata na adhabu

Hebu tiririka kitu usichokisahau jandoni, vijana wetu Wajue

Uliwahi kua "sokolio"? Kuwinda wasichana barabarani...
 
Sisi jandoni ni muhimbili,so hakuna mpya,ila nyie vumilieni maumivu sisi watoto Wa kishua hakuna kuvumilia
Mkuu mzee wangu alikuwa meneja Tanesco ila alikuwa mkoloni vibaya nilisafirishwa bila kujua napelekwa kwenye maumivu kilichonitokea uko mmmh
 
Aaahhhh. Mkuu mi nimetailiwa zizini saa 12:30 Bila ngazi na kisu wala Bila hata kufumba macho
 
Kwanza natanguliza salaamu kwenu.

Katika vitu ambavyo siwezi kuvisahau katika maisha yangu ni Jando, hii inapelekea nikiona damu tu nakumbuka.

Kwanza nilitahiriwa kipindi najua mema na mabaya,
pili nilitahiriwa bila ganzi,
tatu nilitahiriwa polini,
nne sijawai kubembelezwa pindi tu nilipotahiliwa, maneno ambayo nilikuwa Nayasikia, acha kulia mwanaume wewe, na maneno mengine.

JAmani jandoni si mchezo nilikaa mwezi mmoja na nusu, nikiuguza kidonda polini, unalazimishwa kutoa bandeji bila ya ganzi, unapewa athabu ngumu bila Sababu za M singi, unanyimwa chakula ambacho wazazi wako wamempa mtu unayekaa nae, ye akipewa anakula chakula mbele yako na unaambiwa nenda katafute, unaenda kuchimba mizizi na kuua wanyama wadogo kama sungura ndio chakula chako.

Jandoni tunafundishwa jinsi ya kuishi na mwanamke, ndio mana ni Mara chache kumsikia mtu aliyepitia jandoni analalamika juu ya wanawake,

Tunafundishwa Heshima, tunafundishwa kujitegemea na kusimama kama mwanaume sehemu yoyote,
Tunafundishwa kuwa Msiri, (hata hapa nimevunja sheria ya jando)

na mambo mengine mengi zikiambata na adhabu

Hebu tiririka kitu usichokisahau jandoni, vijana wetu Wajue
Ulijengwa kuwa mwanaume shupavu na kujua kujitafutia ila baadae uwe baba bora wa familia.

hongera sana.
 
Hivi huwa mkitoka mnaenda bush au hata taun mnafika hata ciku huwa mna utofaut gan❂❂❂❀❀❀✿✿✿✽✽❄✻✺
 
JANDO - Ni muhimu kwa Mwanaume.

UNYAGO - Ni muhimu kwa Mwanamke.

OVA
 
Back
Top Bottom