ππππππ sidhani, hata yeye kamalizia ladies watapewa kipaumbeleKwa jinsi kulivyokuwa na ukata na upungufu mkubwa wa midume rijali, usishangae inbox yako ikafurika na msg toka kwa midume ikitaka kwenda kuenjoy na dume mwenzao.
Aisee ntafanya uchambuz yakinifu nasikia kuna midume mingine ina Id za kike humuKwa jinsi kulivyokuwa na ukata na upungufu mkubwa wa midume rijali, usishangae inbox yako ikafurika na msg toka kwa midume ikitaka kwenda kuenjoy na dume mwenzao.
Ooohh pole, tumepishana. Nimetoka huko wiki iliyopita.....
Aisee sitaki kuamini kwa nini usipande bot ukageuza?@Kasie matata anyway next time
niliwahi kukaa sehemu moja CCM wakati napata zangu kinywaji akaja jamaa mmoja akaomba kukaa na mimi nikasema poa (ugeni huu) baadae alikuja jamaa mmoja namfahamu akaniuliza umekuwaje wewe? (sikumwelewa)Kwa jinsi kulivyokuwa na ukata na upungufu mkubwa wa midume rijali, usishangae inbox yako ikafurika na msg toka kwa midume ikitaka kwenda kuenjoy na dume mwenzao.
Mzee wa 900 itapendeza π pamoja sana mkuuKwenye story zako Usisahau hii ya dk shika
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli
Lancefort Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Russia miaka kadhaa iliyopita, na kwasasa haifanyi kazi kwa kipindi kirefu baada ya watendaji wake kupotea gafla kwa mazingira ya kutatanisha. Kutoka mjini Rostov on don napokaa mpaka Moscow ni mwendo mrefu kidogo ambao ni km 1200 na zaidi, kwa...www.jamiiforums.com
siku hizi inabidi uwe na mashaka hata na wanaume wenzio. Unaweza jiona uko na msela kumbe linakulia timing ukalipakue.niliwahi kukaa sehemu moja CCM wakati napata zangu kinywaji akaja jamaa mmoja akaomba kukaa na mimi nikasema poa (ugeni huu) baadae alikuja jamaa mmoja namfahamu akaniuliza umekuwaje wewe?
maana story zilikuwa zinaenda kama kawaida, akahama akaenda kaunta akanitumia msg kuwa hilo jamaa ni shoga na hapo wanaomjua watajua umebeba mzigo.
nilihama dakika hiyo hiyo.