nikitoka La Kairo nitapita Villa
Kumbe Blaki Womani uko mwanza?any way. Viwanja Vya mwanza ni common sana sijui niviite fixed?hakuna kilichoongezeka Hapo golden rock=buzuruga chanya national,villa kirumba,Tunza(japo pamefulia na sijui unaendea nini mkuu ilemela)Pasaka njema kwako na familia mkuunikitoka La Kairo nitapita Villa
holaaaaaaaa God akipenda nitakoka maana kesho na kesho kutwa ni mbali sana.
Kesho asbh sokoni, mchana kanisani. Jmosi villa park then mwz hotel. jpili kanisani then malaika beach na familia. J3 mtaani kwangu kiseke ppf, karibuni
Msisahau kuwa alhamisi jioni (in fact muda mfupi kutoka sasa) kutakuwa na ibada ya Alhamisi Kuu, Ijumaa kuna ibada ya Njia ya Msalaba na Jumamosi usiku kuna ibada ya Mkesha wa Pasaka. Jumapili ndio kilele cha mambo yoye katika ibada ya Pasaka
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kwanza nianze kwa kukukaribisha katika mwanzo wa sikukuu za Easter. Karibu sana
Leo kuanzia saa 12:00 jioni nitakuwa Golden Rock Pub - Buzuruga; baada ya hapo hali ndo itanambia pa kuhamia.
Kesho nitakuwa Chanya - Nyakato National ....
J.mosi nitakuwa Villa - Kirumba .....
Easter nitakuwa Tunza nikiwa na familia ....
J.3 ya Easter nitajifungia na my baby hadi pale tutakapoamua kutoka kwenda Grocery.