montroll
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 319
- 126
Eti wateule was kisiasa wanahitaji kujua na kusoma tu? Kwa hiyo kina Muhongo,Kabudi.Mwakyembe,Kigwangala and the likes tusiwapime kwa uprof na udkt wao? Mbona back mkuu anawalenga hao tu kwenye teuzi zake? Yaani Kabudi ameteuliwa kwasababu anajua kusoma na kuandika, I am confused really! Au ndo maana huwa wanaachana kabisa na kuyakana maandiko yao wenyewe? Naomba kuwasilisha