Mtagwa lindi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 311
- 96
bwatobwaga? Yaani mtubwi wa nani?
Nami acha nijinafac na kilugha changu 'MUHO WAKUMA,MBOO SIKADWA NA MBATHASHO SIKAVA ****** PIU'-Yani ' upepo umevuma,nyati wakaja na mbaazi zikawa fimbo-kichaga cha rombo
Eeh....... JOGOO!!Yakheee!!! 'Cha mtu uliwa na mtu, na cha chuma huliwa na kuuutu yakhee'
Ukitaka kula nawe kubali kuliwa japo kidogo.