Foolish...MANYAMA..MZUNGU AMENYA JIFULU.Hakika wewe kama ni si mswahili nimesema usisome mlolongo huu [thread] HAYA SASA HII SHATI YA WEWE??????
Na eti kweli nimeambiwa Mwalimu Mkuu ni Mamaako eeeeeeeeeh??????
Na unakaa wapi weye Kigogo kwa mbele au unakalia Upanga kwa Nyuma???
Ukishindwa nijibu nitakuuliza kwa kilugha changu manake nimesema wewe kama si Mswahili Usisome na wewe umelazimisha kusoma labda kwa kilugha/kabila yangu utanielewa nasema hivi "YEGO WAHIKA WAGENDA MAJITA KUXAMAYO?"
Nami acha nijinafac na kilugha changu 'MUHO WAKUMA,MBOO SIKADWA NA MBATHASHO SIKAVA ****** PIU'-Yani ' upepo umevuma,nyati wakaja na mbaazi zikawa fimbo-kichaga cha rombo
Yesu angu gasper vave wa rombo ingai dhai,,,,,wansensaee,,,,,muo ukakuma mbathasho sikauma dukala mtango!!!!!
Umekalia big g hebu sogea nikubandue!