Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Haka kaswali kasabsidiare.
Au ukila ukashiba uzito haizidi? Mana ingekua mtu kala chakula cha kg 2 mathalan. Halafu uzito ule akauhisi basi ingekua kazi, mana matumbo yangekua maziiiitooo
Halloo nini mbaya?
Utundu utaacha lini ?
Kwani machakachuzi umeanza leo? Mbona u'mchakachuaji mzuri tu! Pande kibao!
Haitakaa itokee Judgement kulala alone...we nani kasema na mie niko wapi wakati huo?