papaupanga
Member
- Jul 11, 2015
- 25
- 7
Ndugu wana jamvi kwa muda mrefu ukianzia na nyomi/mafuriko ya wananchi wanaowaunga Ukawa siku ya Mgombea wao alipoenda kuchukua fomu tume ya uchaguzi, na mpaka sasa. Kumekua na kauli kuanzia kutoka kwa mwenyekiti wa ccm na wanaccm wengine na jana tumemsikia Emmanuel Nchimbi kua, siyo picha halisi. Swali la kujiuliza kama nyomi haina nnafasi na haina athari kwa matokeo ya uchaguzi, inakuwaje wanaccm wanakosa amani na kuanza vitu vya ajabu kua mafuriko/nyomi kwenye mikutano ya ukawa ni picha za kutengeneza? Hii inaashiria nini? Naomba tujadili...