Watu hujifunza siku hadi siku kuhusu vitu viletavyo fedheha moyoni.Kwa Afrika kipindi cha uchaguzi huwa si mwanana.Kama ntaendelea kuishi zaidi ya 2015,kama moyo wangu utaendelea kudunda na mishipa yangu kutililisha damu nitambeba mtoto wangu na kumrusha juu na kisha kumdaka,nitamnong'oneza kwa sauti yenye hakika na kumwambia hii ndo Tanzania tuliyoitaka
kisha Ntamshika mama yake kiunoni huku nikimtazama machoni kwani ntakua na uhakika sitamuona akilia tena kuhusu hali ngumu ya maisha kwani adui wa maendeleo ccm atakua amezikwa,sanduku la kura litakua limetoa adhabu yake dhidi ya ccm